Adaiwa kujifungua, kumzamisha mtoto kwenye maji

Dodoma.  Mkazi wa Mtaa wa Oysterbay Kata ya Dodoma Makulu jijini Dodoma Selina Jafar (30) amedaiwa kujifungua na kumuua mtoto kwa kumzamisha ndani ya ndoo ya maji akiwa chumbani. Hata hivyo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, George Katabazi amekiri kufahamu tukio hilo akisema alipigiwa simu na wenye nyumba kujulishwa tukio hilo na alituma askari…

Read More

Mume, mke wasioona wasimulia wanavyoendesha maisha yao

Mbeya. Licha ya changamoto wanazopitia, wanandoa Upendo Tebela na mumewe Andindilile Mwakifumbwa wanaendelea kuishi kwa matumaini, wakiwa na imani kuwa kesho yao itakuwa bora zaidi. Wawili hao wamekuwa wakiishi na ulemavu wa macho tangu utotoni na wamefanikiwa kuwa na mtoto mmoja wa kiume aitwaye Agape Andindilile (2). Mwananchi ilifika nyumbani kwao Mtaa wa Mbalizi 2,…

Read More

Viwango vya kukopesheka Tanzania vyaimarika

Dar es Salaam. Tanzania imepiga hatua kubwa katika kuboresha uwezo wake wa kukopesheka. Hii ni kutokana na viwango vipya vya ukadiriaji wa mikopo vilivyotolewa na Moody’s Investors Service na Fitch Ratings, kuonyesha mafanikio ya kiuchumi katika Ukanda wa Kusini mwa Jangwa la Sahara. Kwa mujibu wa wataalamu hao, viwango hivyo vinaonyesha usimamizi mzuri wa fedha…

Read More

TANZANIA KUWA MWENYEJI MKUTANO WA KIKANDA KWA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI NA SADC UNAOHUSU MATUMIZI YA NISHATI

Na Said Mwishehe, Michuzi TV TANZANIA inatarajia kuwa mwenyeji wa Mkutano wa Kikanda kwa nchi za Afrika Mashariki na Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) unaohusu masuala ya Matumizi Bora ya Nishati. Mkutano huo utafanyika jijini Arusha kuanzia Desemba 4 mpaka Desemba 5 mwaka huu na umeandaliwa na Serikali ya Tanzania kwa Kushirikiana…

Read More