
Tanzania kusaka wawekezaji wa Saudi Arabia
Dar es Salaam. Tanzania inatarajiwa kutumia siku tatu kutafuta wawekezaji kutoka nchi ya Saudi Arabia ambao watakuwa tayari kuweka fedha zao katika sekta saba ikiwemo mafuta na gesi ambayo bado haijanufaisha nchi ipasavyo. Katika siku hizo tatu za kuzitangaza fursa za uwekezaji, ujumbe wa wafanyabiasha zaidi ya 100 ikiwemo watumishi mbalimbali wa Serikali utakuwa ni…