TAMASHA LA KKK LAIPAMBA SHULE YA CHANGA TANGA

Wadau mbalimbali wakifuatilia kongamno la KKK katika shule ya msingi Changa, leo 8 Novemba 2024 Shule ya msingi Changa, iliyoko manispaa ya jiji la Tanga, leo tarehe 8 Novemba 2024 imefanya tamasha la kusoma, kuandika na kuhesabu kwa wanafunzi 140 wa darasa la awali, la kwanza na la pili ili kuhamasisha na kukuza stadi za…

Read More

KATIBU MKUU UWT APOKEA TARAKILISHI 34

📍 8 Novemba, 2024~Dodoma Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa CCM (UWT), *Ndg. Suzan Kunambi (MNEC)* amepokea jumla ya tarakilishi (computer) 34 kutoka kwa Mbunge wa Viti Maalum, *Mhe. Stella Ikupa*. Tarakilishi hizo zitasambazwa na kukabidhiwa katika ofisi za Makao Makuu ya UWT pamoja na Mikoa yote ya Tanzania Bara na Zanzibar…

Read More

Ubunifu KuniSMART, JikoSMART ulivyoondoa adha ya moshi Magu

Mwanza. “Wakati nikifanya kazi katika shirika fulani, tulitembelea shule moja jijini Mwanza na kukuta wapishi wakiwa wanapeana zamu jikoni. Mmoja anaingia na kupuliza moto, kisha anakimbia kumpisha mwenzake ili kukabiliana na moshi. Hili lilinisikitisha sana,” anasema Bernard Makachia, mbunifu wa JikoSMART. Akizungumza na Mwananchi kwenye mahojiano maalumu kuhusu wazo la kuja na majiko hayo lilipotoka,…

Read More

Teknolojia ya nyuklia yatua Zanzibar

Unguja. Katika kuimarisha huduma, tafiti na ubunifu unaolenga kuongeza wigo wa matumizi ya sayansi na teknolojia ya nyuklia, Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi anatarajia kuzindua jengo jipya la Tume ya Nguvu za Atomu Tanzania (TAEC) Kanda ya Zanzibar. Akizungumza na waadishi wa habari Zanzibar Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda amesema…

Read More

Vilio wagombea kuenguliwa uchaguzi serikali za mitaa

Dar/Dodoma. Wakati vyama vya siasa vya upinzani vikilalama wagombea wake kuenguliwa katika kinyang’anyiro cha uchaguzi wa serikali za mitaa, Waziri wa Tamisemi, Mohamed Mchengerwa amevitaka kuacha kulalamika pembeni badala yake vitumie siku mbili zilizowekwa kuwasilisha malalamiko. Kwa mujibu wa vyama hivyo, wagombea wake wameenguliwa kwa sababu mbalimbali zikiwamo za mihuri kukosewa, uraia, kukosa vigezo na…

Read More