OAUT YAJIPANGA KUZALISHA WANAFUNZI BORA

Mwandishi wetu CHUO Kikuu cha Umoja wa Afrika Tanzania (UAUT) kimesema kimejipanga kuzalisha wanafunzi waliopikwa vizuri ili waweze kuhitimu wakiwa wamebobea katika nyaja mbalimbali. Hayo yamebainishwa Jijini Dar es salaam mapema leo Novemba 9,2024 na Mwenyekiti wa Baraza la UAUT ,Profesa Rwekaza Mukandala katika mahafali ya tisa ya Chuo hicho tangu uongozi mpya chini ya…

Read More

π‚π‚πŒ πƒπŽπƒπŽπŒπ€ πŒπ‰πˆππˆ πŒπ†π”π” πŠπ–π€ πŒπ†π”π” 𝐍𝐀 πŒπ€ππ€π‹πŽπ™πˆ πŠπ”π„π‹π„πŠπ„π€ 𝐔𝐂𝐇𝐀𝐆𝐔 𝐖𝐀 π’π„π‘πˆπŠπ€π‹πˆ 𝐙𝐀 πŒπˆπ“π€π€

Uongozi wa CCM Wilaya ya Dodoma Mjini chini ya Mwenyekiti Charles Mamba umeendelea na mikutano ya mfufulizo na mabalozi wote 2000 wa Jimbo la Dodoma Mjini katika kujiweka sawa kuelekea katika uchaguzi wa serikali wa mitaa ambapo leo kikao kimefanyika cha Mabalozi kutoka Kata ya Makutupora,Chihanga,Ipala,Chahwa,Hombolo Makulu na Hombolo Bwawani. Akizungumza katika mkutano huo Mwenyekiti…

Read More

Wabunge watoa kauli hujuma SGR

Dar es Salaam. Wabunge wameliagiza Shirika la Reli Tanzania (TRC), kufunga kamera za ulinzi mara moja maeneo yote ya reli ili kukabiliana na watu wanaohujumu miundombinu ya treni ya kisasa ya umeme (SGR). Agizo hilo limetolewa leo Novemba 9, 2024 jijini Dar es Salaam na wabunge ambao ni wajumbe wa Kamati za Kudumu za Bunge…

Read More

Askari auawa na tembo, mmoja akijeruhiwa

Tarime. Askari wanyamapori amefariki dunia, huku mtu mmoja akijeruhiwa baada ya tembo kuvamia Kijiji cha Murito wilayani Tarime, mkoani Mara wakitokea katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti. Askari huyo, Arafat Miyimba (27) amefariki dunia wakati yeye na wenzake wakiwa katika harakati za kuwarudisha tembo hao hifadhini. Akizungumza na Mwananchi kwa simu, Mkuu wa Wilaya ya…

Read More

Haya ndio majukumu aliyokuwa akiyafanya Mafuru

Dar es Salaam. Asubuhi ya leo ilitokea taarifa iliyoacha simanzi kwa wengi, Β nayo ni ya kifo cha Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango,Β  Lawrance Mafuru ambaye amehudumu nafasi hiyo kwa mwaka mmoja na miezi mitatu. Mafuru aliyekuwa mtaalamu wa fedha na uchumi maarufu hapa nchini akihudumu katika sekta binafsi na sekta ya umma, amefariki dunia…

Read More

Serikali kuweka sheria maalumu kwa wataalamu wa usafirishaji

Dar es Salaam. Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa amesema wizara hiyo, inaendelea na mchakato wa kuweka sheriaΒ  mahususi ya usimamizi wa watalaamu wa usafirishaji nchini. Amesema lengo ni kuhakikisha sekta ya uchukuzi inaongozwa kitaalamu kwa kutumia sheria, kanuni, taratibu na weledi wa kitaalamu na sio kusimamiwa na kuendeshwa kiholela. Taarifa iliyotolewa leo Jumamosi Novemba…

Read More