
Rais Biden na Trump kujadili vita vya Ukraine na mengineyo – DW – 10.11.2024
Mshauri wa masuala ya Usalama wa Taifa Jake Sullivan amesema hayo jana Jumapili na kuongeza kuwa Biden anatarajiwa kumtolea wito Trump kutoiacha Ukraine. Kwenye mahojiano na kituo cha utangazaji cha CBS, Sullivan amesema ujumbe muhimu wa Biden utajikita katika makabidhiano ya amani ya madaraka, lakini pia atamweleza Trump kile kinachoendelea barani Ulaya, Asia na Mashariki ya…