
MKUTANO WA 56 WA KAMATI YA KITAIFA YA UWEZESHAJI WA UTOAJI WA HUDUMA VIWANJANI WAFANA
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), Bw. Salim Msangi amefungua Mkutano wa 56 wa Kamati ya Kitaifa ya Uwezeshaji wa utoaji huduma viwanjani kwa niaba ya Katibu Mkuu Wizara ya Uchukuzi Prof.Godius Kahyarara. Akitoa neno la ufunguzi katika Mkutano huo unaofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma,…