
Maswali kibao tukio la ‘utekaji’ wa Tarimo
Dar es Salaam. Wakati Jeshi la Polisi likiendelea na uchunguzi wa tukio la kutaka ‘kutekwa’ kwa mfanyabiashara, Deogratius Tarimo, mijadala imeibuka juu ya hali ilivyokuwa na kuibua maswali kibao. Tukio hilo lililotokea Jumatatu ya Novemba 11, 2024 eneo la Kiluvya jijini Dar es Salaam, limetonesha matukio ya aina hiyo ya watu ‘kutekwa’ ama kupotea katika…