Wachungaji, wahubiri wapimwe afya ya akili kabla ya kutoa neno

Mwanza. Baadhi ya wasomi wa Biblia na viongozi wa dini wameshauri kitengenezwe chombo kitakachofuatilia mienendo ya wahubiri na wachungaji pamoja na kuwapima afya ya akili kabla ya kuruhusiwa kuhubiri. Ushauri huo ni kufuatia ongezeko la makanisa nchini ambayo wachungaji na wahubiri wake wanadaiwa kuwapotosha waumini wao kwa kutumia maandiko ya Biblia na kuwaaminisha vitu kama…

Read More

Ongezeko ajali za barabarani laizindua Zanzibar

Unguja. Katika kupambana na janga la ogezeko la ajali za barabarani, Zanzibar imeendelea kubuni mikakati, safari hii kwa mara ya kwanza itaanza kuadhimisha wiki ya usalama barabarani ambayo itatumika kutoa elimu kwa watumiaji wa barabara. Akizungumza kuhusu wiki hiyo Novemba 14, 2024 Waziri wa Ujenzi, Mawasilinano na Uchukuzi, Dk Khalid Salum Mohamed amesema licha ya…

Read More

SMZ yaondoa zuio uchimbaji mawe Pemba

Pemba. Kutokana na kilio cha wananchi kisiwani Pemba cha kuzuiwa kuchimba mawe, Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imeondoa zuio hilo lakini ikiwataka kuzingatia utaratibu uliowekwa katika uchimbaji. Kwa takriban mwezi mmoja SMZ ilizuia uchimbaji wa mawe ikiwa ni mkakati wa kukabiliana na uharibifu wa mazingira. Uamuzi huo ulilalamikiwa na wananchi wakieleza kukosa kipato. Wakizungumza…

Read More

Chadema yajibu kauli za Lissu, Dk Slaa

Dar es Salaam. Ni kawaida kwa viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kujitokeza hadharani kukanusha hoja zinazoibuliwa na makada wake. Safari hii chama hicho kimeibuka kumjibu kada wake ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti-Bara, Tundu Lissu, ikiwa ni baada ya siku 89 kupita tangu kilipomjibu juu ya madai ya rushwa ndani ya chama hicho….

Read More

Maendeleo kama Maandishi ya Rasimu ya Uamuzi wa Kipaumbele kikuu cha Urais wa COP29 Yatolewa – Masuala ya Ulimwenguni

Wenyeviti-wenza wa Lengo Jipya la Pamoja la Kukaguliwa (NCQG) wamefika katika misingi inayoweza kutekelezeka kwa ajili ya majadiliano juu ya lengo kuu la fedha la kipaumbele cha Mkutano huo. na Joyce Chimbi (baku) Alhamisi, Novemba 14, 2024 Inter Press Service BAKU, Nov 14 (IPS) – Siku tatu baada ya mkutano wa kihistoria wa COP29, wenyeviti…

Read More

Asilimia 67 ya Watanzania wanaamini uchumi utaimarika

Dar es Salaam. Karibu asilimia 67 ya Watanzania wanaamini kuwa nchi inaelekea kwenye mwelekeo sahihi na idadi kubwa inatarajia uchumi kuimarika katika miezi 12 ijayo, kwa mujibu wa ripoti mpya ya Afrobarometer. Ripoti hiyo pia inaonyesha kuwa asilimia ya Watanzania wanaoona mwelekeo chanya wa uchumi wa nchi kwa njia chanya imeongezeka kwa alama 9 za…

Read More

CCT yabainisha kasoro tano uchaguzi Serikali mitaa

Dar es Salaam. Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT), imeainisha kasoro tano ilizozibaini katika mchakato wa uchaguzi wa Serikali za mitaa, vijiji na vitongoji kuanzia uandikishaji hadi ngazi ya uteuzi wa wagombea, huku ikisisitiza umuhimu wa uchaguzi huo kusimamiwa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC). Kasoro hizo ni malalamiko kuhusu daftari la wakazi, kuenguliwa…

Read More

Pumu ya ngozi mwiba wakazi Kanda ya Ziwa

Mwanza. Ugonjwa wa pumu ya ngozi unatajwa kuwa kinara wa magonjwa ya ngozi yanayowatesa wakazi wa mikoa ya Kanda ya Ziwa. Takwimu zinaonyesha wastani wa wagonjwa wapya 300 wanaogundulika kuugua na kutibiwa magonjwa ya ngozi katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Bugando kila wiki, wagonjwa 120 sawa na asilimia 40 hugundulika kuugua ugonjwa huo….

Read More