Ukiukaji wa Haki za Kibinadamu Dhidi ya Wanawake Waongezeka nchini Afghanistan, Wakati Taliban Wakifurahia Kutokujali – Masuala ya Ulimwenguni

Richard Bennett, Ripota Maalum kuhusu hali ya haki za binadamu nchini Afghanistan, akitoa maelezo kwa waandishi wa habari katika Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa. Mikopo: UN Photo/Mark Garten na Oritro Karim (umoja wa mataifa) Ijumaa, Novemba 15, 2024 Inter Press Service UMOJA WA MATAIFA, Nov 15 (IPS) – Imepita miaka mitatu tangu mashambulizi ya…

Read More

UFANYAJI WA MITIHANI YA 29 YA PSPTB WAKAMILIKA

Bodi ya wataalam wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) imeendesha mitihani yake ya 29 kwa jumla ya watahiniwa 1,223 katika ngazi za Professonal Diploma, Graduate Professional na CPSP. Mitihani hiyo imefanyika katika mikoa Dar es Salaam, Dodoma, Kilimanjaro, Arusha, Mbeya, Mwanza na Zanzibar kuanzia terehe 11 hadi 15 Novemba, 2024. Akizungumza wakati wa mitihani hiyo ikiendelea,…

Read More

Shamim, mumewe wakwaa kisiki Mahakama ya Rufani

Arusha. Mahakama ya Rufani imebariki adhabu ya kifungo cha maisha iliyotolewa kwa wanandoa, Shamim Mwasha na mumewe Abdul Nsembo waliohukumiwa baada ya kupatikana na hatia ya makosa ya kusafirisha dawa za kulevya. Machi 31, 2021 wanandoa hao walihukumiwa adhabu hiyo na Jaji Elinaza Luvanda wa Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu uchumi….

Read More

Viongozi wa dini wakosoa taratibu uchaguzi serikali za mitaa

Dar es Salaam. Viongozi wa dini nchini kwa nyakati tofauti wametoa kauli  kuhusu mwenendo wa mchakato wa uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji, wakiitaka Tamisemi kutenda haki katika hatua zilizobaki za kampeni hadi matokeo kutangazwa. Wamezungumzia changamoto zilizojitokeza kuanzia uandikishaji wapigakura hadi uteuzi, huku wagombea wa upinzani wakienguliwa kwa sababu mbalimbali, yakiwemo makosa…

Read More