Skip to content
  • Privacy Policy

HabariMpya

Habari za Kitaifa

  • Privacy Policy

Day: November 16, 2024

  • Home
  • 2024
  • November
  • 16
Kimataifa

Mazungumzo Madhubuti Yanahitajika Kusukuma Nchi Tajiri Kuheshimu Ahadi za Kifedha – Masuala ya Ulimwenguni

November 16, 2024 Admin

Kimbunga cha Idah mwaka 2019 kilisababisha uharibifu mkubwa na janga la kibinadamu huko Msumbiji, Zimbabwe na Malawi, na kusababisha vifo vya zaidi ya watu 1,500

Read More
Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo November 17, 2024

November 16, 2024 Admin

Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam November 17, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti

Read More
Habari

Mahakama ilivyohitimisha shauri la umri wa kugombea uongozi

November 16, 2024 Admin

Dar es Salaam. Mahakama Kuu Masjala Kuu Dodoma imetupilia mbali shauri la maombi ya ridhaa ya kufungua shauri la mapitio kupinga kanuni za uchaguzi wa

Read More
Habari

Fundi mchundo adai jengo la Kariakoo lilikuwa dhaifu

November 16, 2024 Admin

Dar es Salaam. Wakati Serikali ikieleza kuwa inaendelea na uchunguzi kubaini chanzo cha kuporomoka kwa jengo la Kariakoo, fundi aliyekuwa akifanya ubomoaji, amedai miongoni mwa sababu

Read More
Habari

Askofu Masondole awaonya madaktari wanaoshauri utoaji mimba

November 16, 2024 Admin

Mwanza. Mwakilishi wa Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) na Askofu wa Jimbo Katoliki la Bunda, Simon Masondole amewaonya madaktari wanaowashawishi wanawake kutoa

Read More
Habari

Kuporomoka kwa jengo Kariakoo, fundi atoboa siri

November 16, 2024 Admin

Dar es Salaam. Wakati Serikali ikieleza kuwa inaendelea na uchunguzi kubaini chanzo cha kuporomoka kwa jengo la Kariakoo, fundi aliyekuwa akifanya ubomoaji ameeleza sababu na

Read More
Kimataifa

Mikopo ya Fedha ya Hali ya Hewa ni Maafa kwa Jumuiya za Kiafrika zilizolemewa na hali ya hewa – Masuala ya Ulimwenguni

November 16, 2024 Admin

Waandamanaji katika COP29 wanataka haki ya hali ya hewa. Credit: Isaiah Esipisu/IPS na Isaya Esipisu (baku) Jumamosi, Novemba 16, 2024 Inter Press Service BAKU, Nov

Read More
Habari

IGP Wambura: Tumejipanga kuimarisha usalama siku ya uchaguzi

November 16, 2024 Admin

Kilombero. Wakati uchaguzi wa serikali za mitaa ukitarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024, Jeshi la Polisi nchini limejipanga kuimarisha usalama na utulivu siku ya uchaguzi, ili

Read More
Habari

Wabunge wataka wamiliki hoteli kuwatumia wataalamu wazawa wa kahawa

November 16, 2024 Admin

Moshi. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo imeitaka Bodi ya Kahawa Tanzania (TCB) kuhakikisha hoteli zenye nyota mbili hadi tano

Read More
Habari

NEEC yawaita wadau uwezeshaji wananchi kiuchumi

November 16, 2024 Admin

Dar es Salaam. Wadau takribani 700 wa  masuala ya uwezeshaji wananchi kiuchumi wanatarajiwa kukutana jijini Dodoma,  kwa siku mbili kufanya tathmini ya utekelezaji wa mikakati

Read More

Posts pagination

1 2 … 9 Next

Categories

  • Burudani
  • Habari
  • Kimataifa
  • Magazeti
  • Michezo
All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.