Zitto Kabwe awaonya watakaoshinda – Mwanahalisi Online

  KIONGOZI wa Chama (KC) wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amewaonya wagombea wa chama hicho watakaochaguliwa kuwa viongozi wa vitongoji, vijiji na mitaa watakaochaguliwa wasiwadhulumu wananchi kwa kudai fedha. Anaripoti Salehe Mohamed, Dar es Salaam … (endelea). Zitto amesema chama chake hakitasita kuwafukuza viongozi watakaobainika kuwatoza fedha wananchi wanapokwenda kwenye ofisi zao kupata huduma…

Read More

Benki ya Akiba yawatoa hofu wateja wake Kariakoo

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Benki ya Akiba (ACB) imewaomba wateja wake walioathirika na janga la kuporomoka gorofa Kariakoo kufika kwenye matawi kutoa taarifa za athari walizopata. Kauli hiyo imetolewa leo Novemba 17,2024 na Kaimu Ofisa Biashara Mkuu wa benki hiyo, Dk. Danford Muyango, wakati benki hiyo ilipofika katika eneo la Karikoo kutoa pole na…

Read More

Afrika yawasilisha ombi la dharura COP-29, kukabili mabadiliko ya tabianchi

Baku, Azerbaijan. Watetezi wa mabadiliko ya tabianchi kutoka Afrika wamewasilisha ombi kwenye Mkutano wa 29 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP-29), kusisitiza hatua za haraka za mabadiliko hayo barani Afrika.  Wamewasilisha ombi hilo kwenye mkutano unaofanyika mjini Baku nchini Azerbaijan huku likiwa na saini zaidi ya 10,000…

Read More

Walionusurika kwenye mzozo wa Colombia wanageuka mashujaa wa msituni kutafuta suluhu za mabadiliko ya hali ya hewa – Masuala ya Ulimwenguni

Njia hii ya maji, shahidi wa kimya wa machafuko ya manispaa ya Mapiripán, imeona yote – usafirishaji wa wanyamapori, mavuno ya koka ambayo yalichochea migogoro, miili ya watu iliyoachwa nyuma katikati ya mauaji mabaya na mmomonyoko wa misitu ya mvua ambayo hapo awali ililisha. . Sasa, Sandra anatumai itaondoa uchungu wa siku za nyuma na…

Read More

Baada ya mabasi ni zamu ya malori, kuanza kwa SGR ya mizigo

Dar es Salaam. Wachumi, wafanyabiashara na wamiliki wa malori nchini wameeleza mategemeo yao ya kuanza kwa usafirishaji wa mizigo kwa reli ya treni ya kisasa (SGR) mwakani, wakiamini utarahisisha biashara kufanyika haraka na kupunguza gharama za bidhaa. Kwa nyakati tofauti walisema usafiri wa reli ni wa uhakika katika usafirishaji wa mizigo. Faida nyingine ya usafirishaji…

Read More