
AMVUNJA MBAVU MKE WAKE KWA WIVU WA MAPENZI
Jeshi la Polisi Mkoa wa Lindi linamsaka Hamidu Abdalah kwa kosa la kumjeruhi kwa kumpiga na chaga ya kitanda mke wake Amina Athuman Said 40, mkazi wa Likongowele wilaya ya Liwale na kisha kusababisha kuvunjika kwa mbavu mbili za upande wa kulia kisha kukimbilia sehemu kusikojulikana. Tukio hilo limehusishwa na masuala ya wivu wa kimapenzi…