
Rais Samia aipongeza Stars kufuzu Afcon, asisitiza haya
Dar es Salaam. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameipongeza timu ya Taifa ya mpira wa miguu, Taifa Stars kwa kufuzu michuano ya Mataifa ya Afrika (Afcon) 2025 huku akisisitiza yawepo maandalizi mazuri. Rais Samia ameandika hayo leo Jumanne Novemba 19, 2024 katika kurasa zake za mitandao yake ya kijamii muda mchache baada ya Taifa…