
Vodacom yazindua Vodashop katika stesheni ya SGR Dodoma kuwasogezea huduma wateja
Vodacom Tanzania Plc imezindua duka lake jipya (Vodashop) katika stesheni ya SGR iliyopo mkoani Dodoma huku ikiwa na mpango wa kufungua duka lingine mkoani Morogoro. Hatua hii muhimu inaonyesha dhamira ya kampuni hiyo kutoa huduma stahiki kwa wateja wake huku wakipanua wigo wa upatikanaji kote nchini. Hii ikiwa ni muendelezo wa mikakati yake ya kuhakikisha…