Yanga SC watambulisha jezi yao mpya

Yanga SC leo wametambulisha jezi zao mpya watakazotumia Kimataifa katika msimu wa 2024/2025 wa CAF Champions League, jezi zimezinduliwa za aina tatu, nyumbani, ugenini na jezi mbadala (third kit).

 

The post Yanga SC watambulisha jezi yao mpya first appeared on Millard Ayo.