
Makamba ataja mambo manne kuamua uchaguzi serikali za mitaa
Bumbuli. Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (MNEC), January Makamba ameyataja mambo yatakayokibeba Chama Cha Mapinduzi kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika Novemba 27, 2024. Makamba amesema namna chama hicho kinavyoshughulikia na kuzipatia ufumbuzi kero zinazowakabili wananchi katika maeneo mengi nchini yanaipa CCM nafasi ya kufanya vizuri katika uchaguzi wa serikali za mitaa….