Serikali yaipa ITA jukumu la utafiti wa mapato

  SERIKALI imekipa Chuo cha Kodi (ITA), jukumu la kufanya utafiti wa namna ya kuongeza idadi ya walipa kodi, kubaini vyanzo vipya pamoja na ukusanyaji wa kodi katika biashara za mitandaoni na zile za kimaifa. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Hayo yamesemwa leo katika mahafali ya 17 ya chuo hicho yaliyofanyika leo…

Read More

Polisi wadai Chadema wamewapiga mawe

  JESHI la Polisi mkoani Songwe, limethibitisha kuwashilikia viongozi kadha wandamizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), akiwamo mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe. Anaripoti Mwandishi Wetu, Songwe  … (endelea). Taarifa ya jesho hilo, iliyotolewa leo 22 Septemba 2024, imewataja waliokamatwa pamoja na Mbowe, kuwa ni Joseph Mbilinyi, mwenyekiti wa chama hicho, Kanda ya…

Read More

TAMSTOA YONYESHA NIA YA KUWEKEZA KATIKA MABASI YA MWENDOKASI, YAKUTANA NA PPPC

CHAMA Cha Wamiliki wa Malori  wa Kati na Wadogo(TAMSTOA), kimeonyesha nia yake ya kutaka kuwekeza katika mradi wa mabasi yaendayo haraka maarufu mwendokasi huku ikiomba kufupishwa kwa masuala ya michakato katika kuingia ubia huo. Tamstoa imeonyesha nia hiyo leo Ijumaa Novemba 22,2024  walipokutana na Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia Tanzania, David Kafulila, ambapo pamoja…

Read More

TLP mguu sawa kampeni uchaguzi serikali za mitaa

Na Nora Damian, Mtanzania Digital Chama cha Tanzania Labour (TLP) kimesema kitahakikisha kinawanadi wagombea wake zaidi ya 180 wanaoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa kuwa wanaamini wote wana uwezo na watashinda. Akizungumza Novemba 21,2024 wakati wa kampeni zilizofanyika katika Mtaa wa Makuti A Wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaam Katibu Mkuu wa TLP,…

Read More

DART yatoa safari nne za bure kwa wataonunua kadi

Na Mwandishi Wetu Wakala wa Mabasi yaendayo Haraka (DART) imesema kuwa katika msimu wa siku kuu za mwisho wa mwaka wanatoa sh.30000 kwa safari Nne kwa watakaonunua kadi kwa ajili ya kutumia katika safari za mabasi yaendayo haraka. Hayo amesyasema Mtendaji Mkuu wa DART Dkt.Athuman Kihamia wakati akizungumza na waandishi habari kuhusiana na matumizi ya…

Read More

Wahitimu fani ya ufundi mitambo wapewa mbinu za ajira

Na Winfrida Mtoi, Mtanzania Digital Wahitimu wa fani ya ufundi na uendeshaji mitambo mikubwa kutoka Chuo cha IHET, wametakiwa kuchangamkia fursa ya soko la ajira lililopo nchini kutokana na uhitaji mkubwa wa watu wenye utaalamu huo nchini katika sekta mbalimbali za kiuchumi. Hayo yamesemwa na Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini, DCP Ramadhani Ng’anzi…

Read More