WANANCHI JITOKEZE USHIRIKI UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA

OfisaTarafa wa Nyaishozi Kelvin Berege amekabidhi Reflectors kwa maofisa Usafirishaji ( Boda Boda ) wa Kata zote ndani ya tarafa hiyo. Lengo ni kuendelea kutoa elimu na kuhamasisha makundi mbalimbali ndani ya jamii, juu ya haki na wajibu wa mwananchi Kupiga/Kupigiwa Kura ifikapo Novemba 27 mwaka huu ambapo utafanyika uchaguzi wa Serikali za Mitaa.

Read More

WAGOMBEA WA UPINZANI HAWANA ILANI WALA MIPANGO MSIPOTEZE MUDA

 CPA MAKALLA: MSIWACHAGUE  Na Mwandishi Wetu. CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimewaomba Watanzania kutopoteza muda wao kwa kuwachagua wagombea wa vyama vya upinzani katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwani hawana mipango ,malengo na Ilani wanayoweza kuitumia katika kuleta Maendeleo na badala yake wahakikishie wanachagua wagombea wa CCM. Ombi hilo limetolewa leo na Katibu wa Halmashauri…

Read More

Masauni ahimiza maadili, uzalendo kwa vijana

Dar es Salaam. Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni amewataka viongozi wa dini ya Kiislamu kuwa karibu na jamii hasa vijana na kuwajenga kimaadili na uzalendo kwa Taifa. Amesema licha ya viongozi hao kuendelea kufanya kazi nzuri, lakini katika eneo la maadili wanapaswa kufanya shughuli ya ziada ili kudhibiti mmomonyoko uliopo. Masauni amesema hayo…

Read More

Viongozi wanavyokimbizana na ratiba ngumu ya kampeni

Dar es Salaam. Zikiwa zimebakia siku tatu kuhitimishwa kwa kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa, viongozi wa vyama vya siasa wameendelea kupishana katika maeneo tofauti nchini wakiwapigia kampeni wagombea wao kwenye uchaguzi huo. Uchaguzi wa serikali za mitaa unatarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024 kampeni zake zinazofanyika kwa wiki moja pekee, ambazo zilianza Novemba 20…

Read More

Profesa Kabudi ataka elimu ya Biblia shuleni

Mbeya. Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabuni amewataka viongozi wa dini ya Kikristo nchini,  kuungana na kuanzisha programu maalumu ya mitaalaa ya elimu ya mafundisho ya Biblia kuanzia elimu ya awali, msingi na sekondari kwa lengo la kulinda maadili kwa vijana. Amesema kuanzishwa kwa masomo hayo kuende sambamba na kutenga fedha kwa ajili…

Read More