Silaha zinazoendeshwa na AI Hupunguza Unyanyasaji, Ikifanya Rahisi kwa Wanajeshi Kuidhinisha Uharibifu Zaidi – Masuala ya Ulimwenguni.

na CIVICUS Ijumaa, Novemba 22, 2024 Inter Press Service Novemba 22 (IPS) – CIVICUS inajadili hatari zinazotokana na matumizi ya kijeshi ya akili bandia (AI) na Sophia Goodfriend, Mwanafunzi wa Baada ya Udaktari katika Mpango wa Mashariki ya Kati wa Shule ya Harvard Kennedy. Ongezeko la kimataifa la AI limeibua wasiwasi kuhusu athari zake kwa…

Read More

Vodacom na Sanlam wazindua M-Wekeza, uwekezaji kupitia simu

  KAMPUNI inayoongoza katika Teknolojia na Mawasiliano,Vodacom Tanzania Plc kwa kushirikiana na Sanlam Investments East Africa Limited, leowamezindua M-Wekeza, huduma ya kibunifu ya uwekezaji iliyoundwa ili kuleta fursa rahisi za uwekezaji kwa watumiaji wa M-Pesa kupitia njia ya kidijitali ya simu zao za mkononi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). M-Wekeza inawawezesha watumiaji…

Read More

Samia atoboa siri mambo yaliyomjenga kwenye uongozi

Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan ametaja mambo sita aliyopitia katika safari yake ya kisiasa, akisema yamemjenga kiuongozi katika kutatua changamoto za wananchi. Mambo hayo ni pamoja na vurugu za kisiasa Zanzibar mwaka 2001, Bunge Maalaum la Katiba, kupokea taarifa ya kifo cha Rais John Magufuli, janga la Uviko-19, vita vya Russia na Ukraine…

Read More

Askari polisi afariki dunia kwa kugongwa barabarani

Kibaha. Askari Polisi, Austin Kabisana wa Mlandizi, mkoani Pwani amefariki dunia baada ya kugogwa na chombo cha moto wakati akitoka kwenye sherehe ya ‘Send off.’ Sherehe hiyo ya mtoto wa askari mwenzakake ilifanyika jana Jumamosi, Novemba 23, 2024 Kibaha Mjini na wakati akirejea nyumbani alikutana na kadhia hiyo barabara ya Morogoro – Dodoma. Baada ya…

Read More

Dickson Job, John Bocco waibukia kwenye mitindo

KAMA ulizoea kuwaona jukwaani wanamitindo wa kiume Calisah, Chris Mziwanda, Daxx na wengine wengi wakifanya yao, basi tambua kwamba kuna wacheza mpira wa miguu nao wanaiweza shughuli hiyo. Dickson Job wa Yanga na John Bocco kutoka JKT Tanzania, wanajulikana kwa watu kuwa ni wacheza mpira wa miguu mahiri lakini kumbe wapo vizuri katika jukwaa la…

Read More

Vigogo wajitosa kampeni uchaguzi serikali za mitaa

Dar es Salaam. Wakati kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa zikiingia siku ya tano leo, vigogo wa vyama mbalimbali vya siasa vikiwemo vya upinzani wamejitosa kushiriki na kuongeza nguvu. Hatua ya viongozi hao imekuja ikiwa zimebaki siku mbili kufanyika uchaguzi huo. Uchaguzi huo wa vijiji, vitongoji na mitaa utafanyika Jumatano ya Novemba 27, 2024….

Read More