Wakulima wa Mayan Boresha Maisha Yao na Utamaduni wa Milpa nchini Meksiko – Masuala ya Ulimwenguni

Mkulima wa Maya Leonardo Puc akionyesha mche mwembamba, ambao mbegu zake hutoa rangi na ladha kwa aina mbalimbali za mapishi ya vyakula vya Meksiko, katika shamba la mahindi katika manispaa ya Tadhziú, kusini mashariki mwa jimbo la Yucatán. Picha: Emilio Godoy / IPS na Emilio Godoy (chacsinkin, mexico) Jumatatu, Novemba 25, 2024 Inter Press Service…

Read More

Tuzo za watendaji wakuu bora 100 wa mwaka

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Kazi, Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Sharif Ali Sharif amewataka vijana wa Kitanzania kubuni miradi inayoendana na sera za uwekezaji katika nchi ili waweze kuwa sehemu ya kujenga uchumi wa nchi yao kwa vitendo. Akizunguza wakati wa hafla ya utoaji wa tuzo za Watendaji wakuu Bora 100 wa mwaka pamoja…

Read More

Mkutano wa Mwaka wa 7 wa ISGE na Kongamano la Kitaifa la 28 la AGOTA: Kuendeleza Upasuaji wa Tundu Dogo kwa Wanawake Barani Afrika

Zanzibar, Tanzania – 20/11/24 Shirika la Kimataifa la Upasuaji wa Wanawake (ISGE) na Chama cha Wanagyna na Wakunga wa Tanzania (AGOTA) wanatangaza Mkutano wa Kila Mwaka wa 7 wa ISGE pamoja na Kongamano la Kitaifa la 28 la AGOTA, litakalofanyika kuanzia Mei 21 hadi 24, 2025, katika Kisiwani Zanzibar. Mada ya mwaka huu, “Upasuaji wa…

Read More

MAAMBUKIZI YA VVU YAPUNGUA KWA ASILIMIA 0.7 RUVUMA

Na WAF – Ruvuma Imetajwa kuwa maambukizi mapya ya Virusi Vya UKIMWI yamepungua kwa asilimia 0.7 kutoka asilimia 5.6 mwaka 2017 hadi kufikia asilimia 4.9 mwaka 2022. Hayo yamesemwa leo Novemba 25, 2024 na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Kanali Ahmed Abbas Ahmed wakati akifungua wiki ya maadhimisho ya siku ya UKIMWI duniani ambayo kitaifa…

Read More

Uchaguzi serikali za mitaa, ‘muziki’ wa vyama vitatu

Dar es Salaam. Wakati kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa zikifikia kilele kesho, vyama vitatu vya CCM, Chadema na ACT Wazalendo vimeonyesha ushindani mkali kwenye maeneo  vilivyosimamisha wagombea. Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe akizungumza na wananchi katika stendi ya Kabwe jijini Mbeya wakati wa ufunguzi wa kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa ya…

Read More

CPA MAKALLA:CHADEMA HAWAKUFANYA MAANDALIZI UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA

*Asema waliwekeza katika kufanya maandamano, migogoro inawatafuna Na Mwandishi Wetu KATIBU wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Itikadi, Uenezi na Mafunzo CPA Amoss Makalla amesema CHADEMA waache kulalama kuwa wagombea wake walienguliwa kwani ukweli uliopo Chama hakikuwa kimejiandaa na Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajia kufanyika Novemba 27 mwaka huu. Akizungumza leo…

Read More

CRDB, Puma zaingia makubaliano kuimarisha usambazaji wa mafuta

Dar es Salaam.Katika jitihada za kuimarisha ujasiriamali na kukuza biashara nchini, Benki ya CRDB imeingia makubaliano na kampuni ya Puma Tanzania kuwakopesha wamiliki wake wa vituo vya mafuta nchini. Makubaliano hayo yaliyosainiwa hivi karibuni na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela pamoja na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Puma Energy Tanzania, Fatma Abdallah yanatoa…

Read More