Meridianbet yatoa msaada Tandale – Mwanahalisi Online

Meridianbet wameendelea kuhakikisha jamii yao inanufaika na kile wanachokivuna kwenye shughuli zao za kila siku, Ambapo leo wamefanikiwa kutoa msaada katika familia kadhaa Tandale Kurudisha kwa jamii iliyowazunguka na yenye uhitaji imekua ni moja ya vipaumbele vikubwa sana kwa mabingwa hao wa michezo ya kubashiri, Kwani wamekua wakifanya hivo kwa miaka mingi sasa. Meridianbet leo…

Read More

BENKI YA EQUITY YAJIDHATITI KURAHISISHA USAMBAZAJI SALAMA WA MBOGAMBOGA NA MATUNDA

NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV Benki ya Equity Tanzania kwa kushirikiana na Taasisi ya Rikolto  pamoja na Motley wamekuja na Bajaji  ambazo zina chumba maalumu chenye ubaridi kwa ajili ya kuhifadhia mazao   ya mbogamboga na matunda  kwa lengo la kusaidia kuongeza thamani ya mazao hayo ili  kuepusha kuharibika wakati wa kuyasafirisha. Akizungumza leo Novemba 26,2024…

Read More

TBS YASISITIZA UMUHIMU WA KUSOMA TAARIFA KWENYE VIFUNGASHIO

NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limewataka wazalishaji wa bidhaa nchini kuhakikisha wanaweka taarifa kwenye vifungashio vya bidhaa husika ili kumuwezesha mlaji kutambua bidhaa husika ni bora au si bora kwa matumizi. Akizungumza na waandishi wa habari leo Novemba 26, 2024 Jijini Dar es Salaam, Afisa Udhibiti Ubora, Moses Mbambe amesema…

Read More

KAMPENI YA MALKIA MWENYE CHOMBO YAZINDULIWA DAR

METL Group imezindua rasmi Kampeni ya Malkia mwenye Chombo, mradi wa kipekee unaolenga kuwawezesha wanawake kwa kuwapatia Bajaj mpya kwa mkopo wa masharti nafuu. Mpango huu unaendeleza dhamira ya METL ya kushiriki katika maendeleo ya jamii na kubadilisha maisha ya wengi. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni hiyo uliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya City…

Read More

BRELA YATOA MAFUNZO KUHUSU MILIKI BUNIFU

Na.Gideon Gregory-DODOMA WAKALA wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) imetoa mafunzo kwa wahadhiri na wanafunzi kutoka vyuo vikuu na vyuo vya ufundi mkoani hapa yenye lengo la kuwajengea uwezo kuhusu masuala ya usajili wa bunifu mbalimbali. Akizungumza baada ya mafunzo hayo yaliyofanyika jijini hapa jana, Ofisa Usajili wa BRELA,Bw. Stanslaus Kigosi, alisema wanatoa elimu…

Read More