
RAIS SAMIA AANZA ZIARA MKOANI ARUSHA, APOKELEWA NA MAGARI YA UTALII ZAIDI YA 500.
Na Jane Edward, Arusha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amewapongeza wakazi wa Mkoa wa Arusha wakiwemo Viongozi wa dini na wadau wa Utalii kwa kuendelea kutunza Amani na utulivu, suala ambalo limechangia Ongezeko kubwa la idadi ya watalii pamoja na mikutano mbalimbali ya Kitaifa na Kimataifa. Mhe….