Habari Rais Dkt. Samia apiga kura katika Kituo cha kupiga kura kitongoji cha Sokoine, Chamwino Mkoani Dodoma November 27, 2024 Admin 15 RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipiga kura kwa ajili ya kuchagua viongozi kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mtaa katika kitongoji cha Sokoine, Chamwino mkoani Dodoma tarehe 27 Novemba, 2024. Related Posts Habari Wanachama CWT wataka kibali cha kuwashtaki viongozi July 14, 2025 Admin Habari RAIS DKT. SAMIA AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI IKULU CHAMWINO July 14, 2025 Admin