Hali ya Kibinadamu nchini Haiti Inazorota Kadiri Unyanyasaji wa Kijinsia Unavyoongezeka – Masuala ya Ulimwenguni

Familia iliyokimbia makazi yao inakimbia Solino, kitongoji katikati mwa mji mkuu wa Haiti, kufuatia kuongezeka kwa ukosefu wa usalama kutokana na ghasia za magenge. Credit: UNICEF/Ralph Tedy Erol na Oritro Karim (umoja wa mataifa) Alhamisi, Novemba 28, 2024 Inter Press Service UMOJA WA MATAIFA, Nov 28 (IPS) – Wakati magenge yanapozidi kuteka maeneo zaidi katika…

Read More

TBS YATOA ELIMU UDHIBITI UBORA KWENYE MAONESHO YA KIMATAIFA YA WAWEKEZAJI WA ZABIBU

SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limeendelea kutoa elimu kuhusu masuala ya udhibiti ubora kwa wananchi waliotembelea banda la TBS kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Wawekezaji wa Zabibu, yaliyofanyika katika Viwanja vya Mashujaa, mkoani Dodoma. Katika maonesho hayo, Afisa Udhibiti Ubora Mwandamizi (TBS) Bi. Sifa Chamgenzi ameeleza umuhimu wa viwango vya ubora katika bidhaa za zabibu,…

Read More

Mitazamo tofauti uchaguzi serikali za mitaa

Dar es Salaam.  Uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji uliofanyika juzi umewaibua wadau mbalimbali – vyama vya siasa, Kanisa Katoliki na wengine wakiwa na maoni tofauti kuhusu mchakato huo. Miongoni mwa wadau hao wamo wanaosema mchakato haukuwa huru na haki, ulighubikwa na kasoro zilizowakosesha ushindi na wengine wakisema ulikwenda vizuri na kuwa hakuna…

Read More

RAIS SAMIA ATUNUKU KAMISHENI KWA MAAFISA WANAFUNZI 236

Na Pamela Mollel,Arusha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Samia Suluhu Hassan,ametunuku kamisheni kwa Maafisa Wanafunzi 236 cheo cha luteni Usu,kwa kundi la 05/21-shahada ya Sayansi ya kijeshi(BMS)na kundi la 71/23-Regular katika chuo cha Mafunzo ya kijeshi Monduli leo tarehe 28 Novemba 2024 Aidha kati ya wahitumu hao wanaume 196…

Read More