
Dkt. Mpango aipongeza Benki ya CRDB kuzindua Hatifungani ya ‘Samia Infrastructure Bond’ kusaidia miradi ya barabara nchini
Dar es Salaam. Tarehe 29 Novemba 2024: Akimwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Philip Isdory Mpango ameipongeza Benki ya CRDB kwa kuzindua Hatifungani ya Samia Infrastructure Bond inayolenga kukusanya Shilingi bilioni 150 kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya barabara za vijijini na mijini zilizochini…