
Serikali ya Zanzibar kuendelea kuunga mkono kazi za Mradi wa USAID Kizazi Hodari Kanda ya Kusini
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar leo imeahidi kuendelea kuunga mkono Mradi wa USAID Kizazi Hodari unaolenga kusaidia katika kuboresha afya, ustawi na usalama wa watoto yatima na wanaoishi katika mazingira magumu (OVC) na vijana walio katika jamii zinazokabiliwa na tatizo la VVU Zanzibar. Kauli hiyo imetolewa leo Zanziar na Waziri wa Zanzibar Ofisi ya Rais,…