RC achekelea Yanga, Singida BS kutimua makocha

MKUU wa Mkoa wa Tabora, Paul Chacha amesema amefurahishwa na kiwango kinachoonyeshwa na timu ya Tabora United  kwenye Ligi kuu Bara ambapo imezifunga Yanga mabao 3-1 na kutoka sare ya 2-2 na Singida Big Stars ambzo zote  zimefukuza makocha. Akizungumza na Mwanaspoti, leo Novemba 29,2024,  Chacha amesema Tabora United itaendelea kuwa bora kwani inapata mahitaji yote…

Read More

RAIS DKT. SAMIA ASHIRIKI MJADALA WA WAKUU WA NCHI WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 25 YA JUMUIYA HIYO JIJINI ARUSHA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza katika Mjadala wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kwenye maadhimisho ya miaka 25 ya Jumuiya hiyo tarehe 29 Novemba, 2024.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Mjadala wa Wakuu wa Nchi…

Read More

Aliyekuwa mgombea Chadema mbaroni kwa ‘kujiteka’

Mwanza. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linawashikilia watu watatu, akiwemo aliyekuwa mgombea wa nafasi ya uenyekiti kwa tiketi ya Chadema, Mtaa wa Buswelu A wilayani Ilemela, Pastory Apolinary, kwa tuhuma za kutoa taarifa za uongo kuwa ametekwa, wakati alijificha ili kukwepa kuendelea kugombea nafasi hiyo. Akizungumza na waandishi wa habari leo, Ijumaa Novemba 29, 2024,…

Read More

Makata ataja maeneo yanayomtesa | Mwanaspoti

BAADA ya safu yake ya ulinzi na ushambuliaji kushindwa kuendana na kasi, kocha mkuu wa Tanzania Prisons, Mbwana Makata ameuomba uongozi kusajili maeneo hayo. Dirisha dogo la usajili linatarajia kufunguliwa Desema 15 mwaka huu, safu ya ushambuliaji ya timu hiyo kwenye mechi 11 walizocheza imefunga mabao matano huku ukuta ukiruhusu mabao tisa. Akizungumza na Mwanaspoti,…

Read More

Hatima ya Mdude yasogezwa hadi Desemba 2

Mbeya. Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya, leo Ijumaa Novemba 29, 2024 imeahirisha tena shauri la kada wa Chama cha Demokrasia na Mandeleo (Chadema), Mdude Nyagali hadi Desemba 2, 2024. Shauri hilo namba 33247/2024 lilifunguliwa Novemba 26, 2024 na Wakili Boniface Mwabukusi akishirikiana na Philipo Mwakilima, wakitaka upande wa Jamhuri kumfikisha mahakamani au kumwachia huru mteja…

Read More