Upatikanaji fedha kikwazo utekelezaji mtalaa mpya
Unguja. Kukosekana fedha imeelezwa kuwa miongoni mwa changamoto ya utekelezaji kwa vitendo mtalaa mpya na uandaaji wa umahiri wa wanafunzi Zanzibar. Hali hiyo imesababisha vitabu kuchelewa kupatikana hivyo kusababisha kudorora kwa huduma za mafunzo. Hayo yameelezwa leo Novemba 29, 2024 na Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali, Ali Abdugulam Hussein wakati wa mkutano…