Luhende asema tatizo mademu | Mwanaspoti

BEKI wa zamani wa Yanga na Mtibwa, David Luhende amesema changamoto inayowapoteza mastaa wengi wa soka kwa sasa ni starehe kupitiliza wanazofanya ikiwemo mademu. Staa huyo ambaye anaitumikia Kagera katika msimu wa tano amekuwa panga pangua katika kikosi, huku akiwa na rekodi ya mabao saba. Alisema mchezaji akiwa karibu na mitandao ya Kijamii, starehe za…

Read More

Ligi mbalimbali kukupa pesa leo

Wikendi ndio hiyo inaenda kuanza leo ambapo mechi ktoka ligi mbalimbali zinaenda kupigwa leo. Suka jamvi lako na Meridianbet uibuke bingwa sasa. Tukianza na ligi kuu ya Uingereza EPL leo, Brighton baada ya kushinda mechi yake iliyopita, leo hii atakuwa nyumbani kukiwasha dhidi ya Southampton ambao ndio wa mwisho kwenye msimamo wa ligi. Meridianbet wanampa…

Read More

Watendaji SMZ waonywa uvujishaji taarifa binafsi

Unguja. Katibu Mkuu Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), amewataka watendaji wakuu wa Serikali kuwa makini na utunzaji wa taarifa binafsi kwani kwenye taasisi kuna nyaraka nyingi za siri za watu, hivyo bila ulinzi inaweza kusababisha madhara makubwa kwa wananchi iwapo zikitumika vibaya. Zena ametoa kauli hiyo leo Novemba 29, 2024 wakati wa…

Read More

TASAC YATOA ELIMU YA USALAMA YA USAFIRI MAJINI

Na Mwandishi Wetu,Geita SHIRIKA la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) limewataka wamiliki na wadau wa usafiri wa majini kuepuka usafirshaji holela wa mizigo na abiria katika kipindi hiki cha mwisho wa mwaka kwa maslahi binafsi ili kuepuka ajali. Ofisa Mfawidhi wa TASAC mkoa wa Geita, Godfrey Chegere ametoa kauli hiyo baada ya kutembelea mialo ya…

Read More

Ahukumiwa kunyongwa kwa kumuua mtoto wa kambo

Arusha. Mahakama Kuu Masijala ndogo ya Dar es Salaam, imemhukumu adhabu ya kunyongwa hadi kufa, Ayoub Mumba baada ya kumkuta na hatia ya kumuua mtoto wake wa kambo, Amina Ayoub (7). Mwili wa mtoto huyo ulipatikana Januari 27, 2020, kwenye msitu unaomilikiwa na Jeshi, KJ-Pugu, Wilaya ya Ilala mkoani Dar es Salaam huku ukiwa hauna…

Read More

Wamiliki jengo lililoporomoka Kariakoo kizimbani

Dar es Salaam. Wafanyabiashara watatu wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam wakikabiliwa na mashtaka 31 ya kuua bila kukusudia. Washtakiwa hao ambao wanadaiwa kuwa wamiliki wa jengo lililoanguka mtaa wa Mchikichi na Congo, Kariakoo jijini Dar es Salaam na kusabanisha vifo vya watu 31, wamefikishwa mahakamani hapo leo Ijumaa Novemba 29,…

Read More

RAIS AOMBOLEZA KIFO CHA NDUGULILE WAKATI WA KIKAO KAZI JIJINI ARUSHA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama pamoja na Viongozi wengine kwa ajili ya kumuombea aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika Marehemu Dkt. Faustine Ndugulile aliyefariki dunia nchini India alipokuwa akipatiwa matibabu, wakati wa Kikao Kazi kilichofanyika Ikulu ndogo Arusha tarehe 29 Novemba, 2024.  

Read More