Australia yapiga marufuku mitandao ya kijamii kwa watoto

Australia imepitisha sheria inayopiga marufuku watoto walio chini ya miaka 16 kutumia mitandao ya kijamii, hatua inayolenga kulazimisha kampuni za teknolojia kuboresha usalama. Sheria hiyo, iliyopitishwa na seneti Alhamisi usiku Novemba 28, 2024, inazihitaji kampuni kama Snapchat, TikTok, na Instagram kuchukua kuhakikisha watoto hawapati huduma zao, vinginevyo zitalipishwa faini ya hadi Dola milioni 50 za…

Read More

Maduka jirani na jengo lililoporomoka yafunguliwa Kariakoo

Dar es Salaam. Maisha lazima yaendelee. Ni kauli za wafanyabiashara kwenye maghorofa mawili yaliyo pembeni ya lile lililoporomoka katika soko la Kariakoo ambao sasa wanaendelea na shughuli zao za kibiashara. Majengo hayo mawili yalitakiwa kuchunguzwa usalama wake, mara baada ya ajali ya kuporomoka kwa jengo jirani na kusababisha vifo vya watu 29, majeruhi 88 na…

Read More

Waziri Mkuu kuongoza matembezi ya kusaidia wenye ualbino

Dar es Salaam. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ataongoza matembezi ya hisani kwa ajili ya kuelimisha jamii kuhusu watu wenye ualbino. Matembezi hayo yaliyoandaliwa na Taasisi ya Lions Club ya Dar es Salaam, Tanzanite na Sky kwa kushirikiana na Chama cha wenye ualbino Tanzania (TAS), yatakwenda sanjari na uchangiaji wa fedha kwa ajili ya kusaidia mahitaji…

Read More

Mahakama yamuachia huru Nawanda – Millard Ayo

Mahakama ya Hakimu Mkazi Mwanza imemuachia huru aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Dkt. Yahya Nawanda aliyekuwa akikabiliwa na kesi ya kulawiti. Katika uamuzi wake kwenye kesi hiyo ya jinai namba 1883/2024 uliosomwa na Hakimu Mkazi Mfawidhi Erick Marley, Mahakama hiyo baada ya kupitia maelezo ya ushahidi na vielelezo imejiridhisha kuwa hakukuwa na muunganiko wa…

Read More

Alhamisi ya kupiga Pesa na EUROPA imefika sasa

  Siku ya kutimiza ndoto zako na mabingwa wa ODDS KUBWA Tanzania Meridianbet imefika ambapo EUROPA LEAGUE kuendelea hapa huku wewe ukiwa na nafasi ya kutusua mkwanja wa maana. Ingia Meridianbet na ubashiri hapa. Anderletch atakuwa mwenyeji wa FC Porto ambapo tofauti ya pointi kati yao ikiwa ni 6 pekee. Mechi ya mwisho kukutana ilikuwa…

Read More