Chad yasitisha mkataba wa ulinzi na Ufaransa – DW – 29.11.2024
Tangazo hilo la serikali ya Chad limetolewa saa chache tu baada ya ziara ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa Jean-Noël Barrot nchini humo. Taarifa ya waziri wa Mambo ya nje wa Chad, Abderaman Koulamallah imesema serikali yake imesitisha mkataba wa ushirikiano wa ulinzi uliotiwa saini na Ufaransa. Koullamalah amesema Chad inataka mabadiliko, lakini…