Takriban watu 15 wakiwemo watoto 7 wafariki na wengine 113 hawajulikani walipo Uganda
Juhudi za uokoaji zinaendelea mashariki mwa Uganda kufuatia maporomoko ya ardhi yaliyozika nyumba katika zaidi ya vijiji 6 wakati nyumba 45 zimezikwa kabisa. Takriban watu 15 wakiwemo watoto 7 walifariki na wengine 113 hawajulikani walipo. “Serikali sasa inanunua ardhi nyingine lakini unaona nini kimetokea, kwa hiyo, iwe hivyo sijui nitumie neno gani, lakini watu waondolewe…