Si kila uvimbe ni saratani
Desemba Mosi 2024, siku ya Jumapili ni siku ya Ukimwi/VVU duniani. Huu ni ugonjwa sugu unaoambukiza na ni moja ya kihatarishi cha kujitokeza kwa uvimbe mbalimbali, ikiwamo saratani. Katika kuelekea kuadhimisha siku hii, leo tutapata ufahamu kuhusu uvimbe hafifu na saratani. Ni kawaida kwa mwanadamu yeyote kupata mshtuko pale anapopata uvimbe wowote mwilini. Mara nyingi…