CCM yapata ushindi mnono uchaguzi wa serikali za mitaa – DW – 29.11.2024
Uchaguzi wa serikali za mitaa nchini Tanzania uliofanyika Jumatano ulionekana kama mtihani muhimu kwa taasisi za kidemokrasia za nchi hiyo kuelekea uchaguzi wa urais mwaka ujao, lakini ulighubikwa na madai ya udanganyifu na matukio ya vurugu. Chama kikuu cha upinzani Chadema kimesema kuwa wanachama wake watatu waliuawa katika matukio yanayohusiana na uchaguzi huo. Tanzania ilikuwa…