STANBIC YASAIDIA KUTOA ELIMU NA KUHIFADHI MAZINGIRA KIGAMBONI
• Stanbic Yatoa Msaada wa madawati 150 na miche ya miti 150 katika Shule ya Msingi Ufukoni. • Mradi unaonyesha dhamira ya Stanbic katika kuboresha elimu kote nchini. • Mpango huu ni sehemu ya dhamira ya Stanbic inayoendelea kwa maendeleo ya jamii. Benki ya STANBIC Tanzania, mnamo tarehe 20 Novemba 2024, imedhihirisha dhamira yake ya…