CBE chatakiwa kuwekeza nguvu kwenye programu atamizi

Mbeya. Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Exaud Kigahe amekitaka Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) kushirikiana na taasisi nyingine,  kuwekeza nguvu kwenye programu atamizi na uanagenzi,  kwa lengo la kutekeleza dira ya Serikali ya kuwandaa vijana kukabiliana na soko la ajira. Amesema hatua hiyo itasaidia kuibua bunifu za tafiti mbalimbali zitakazosaidia kupata ujuzi na…

Read More

Kamisheni ya maafa yatahadharisha matumizi ya umeme, gesi

Unguja. Kamisheni ya kukabiliana na maafa Zanzibar imesisitiza jamii kuchukua tahadhari ya matumizi ya nishati ya umeme na gesi kuepusha athari zinazoweza kujitokeza. Kauli hiyo imetolewa na ofisa mawasiliano na tahadhari za mapema kutoka Kamisheni hiyo, Rahma Vuai Suleiman wakati akitoa elimu kwa wajumbe wa kamati za sheha katika shehia za Mkoa wa Mjini Magharibi,…

Read More

WITO KWA VIJANA KUCHUKUA HATUA MADHUBUTI KUJUA AFYA ZAO NA KUISHI KWA TAHADHARI DHIDI YA MAAMBUKIZI YA VVU

Na.MWANDISHI WETU – RUVUMA Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge, na Uratibu Mheshimiwa Ummy Nderiananga ametoa wito kwa vijana nchini kuchukua hatua madhubuti katika kujua hali zao za maambukizi ya Virusi vya UKIMWI (VVU). Ametoa wito huo tarehe 30 Novemba, 2024, wakati akihitimisha wiki ya vijana katika uwanja wa Majimaji…

Read More