PROF. NOMBO AONGOZA UJUMBE WA TANZANIA KATIKA MKUTANO WA MAWAZIRI WA SAYANSI YA NYUKLIA NA TEKNOLOJIA VIENNA AUSTRIA
Katibu Mkuu Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia Prof. Carolyne Nombo aongoza ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa Mawaziri wa Sayansi ya nyuklia na Teknolojia wa Shirika la Kimataifa la Nguvu za Atomiki (IAEA) unaofanyika jijini Vienna Austria kuanzia tarehe 26-28 Novemba,2024. Katika Mkutano huo ambao anamwakilisha Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Mhe. Prof….