Wakulima wadogo wa mpunga watakiwa kutumia wataalamu kuboresha uzalishaji
Na Esther Mnyika, Pwani Wakulima wadogo wa mpunga nchini wametakiwa kushirikiana na wataalamu wa kilimo walioko kwenye ngazi ya vijiji na kata, ikiwemo maafisa kilimo na maafisa ugani, ili kuimarisha kilimo chao tangu hatua za awali na kuongeza ufanisi katika uzalishaji wa zao hilo. Mkuu wa Divisheni ya Kilimo na Uvuvi wilaya ya Bagamoyo, Gerald…