Kiama kampuni za upimaji ardhi
Dodoma. Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeanza ukaguzi wa kampuni zote za urasimishaji ardhi ili kuona uwezo wao wa kutekeleza majukumu ambayo wamekuwa wakienda kuomba katika halmashauri nchini. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Deogratius Ndejembi amesema hayo bungeni leo Novemba 7, 2024 alipojibu maswali ya nyongeza ya Mbunge wa…