INEC YAWANOA Ma-OCD KUHUSU SHERIA ZA UCHAGUZI
Na Mwandishi wetu, Kilimanjaro Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) katika kuhakikisha inatoa Elimu ya Mpiga Kura kwa makundi mbalimbali katika jamii, leo Novemba 07, 2024 imetoa elimu hiyo kwa Wakuu wa Polisi wa Wilaya (OCD) nchini katika mafunzo yaliyofanyika katika Shule ya Polisi Moshi, Mkoani Kilimanjaro. Akizungumza mara baada ya mafunzo hayo…