Ushindi wa Trump wazua mtafaruku Democratic
Dodoma. Ushindi wa Donald Trump katika uchaguzi wa Marekani umeibua mgawanyiko ndani ya Chama cha Democratic, wakishutumiana kusababisha kushindwa kwenye uchaguzi huo na Republican. Wengine wanamlaumu Rais Joe Biden kwa kujitoa katika kinyang’anyiro wakati usio muafaka, hatua wanayoamini iliongeza mzigo kwa chama hicho kongwe nchini Marekani kilichoanzishwa mwaka 1828. Katika uchaguzi wa Novemba 5, Trump…