AIRTEL WAZINDUA DUKA KATIKA KITUO CHA TRENI YA SASA DAR
Mtendaji Mkuu wa TRC, Masanja Kadongosa akikata utepe kuashiria uzinduzi wa duka la Airtel katika kituo cha Treni ya Kisasa kilichopo jijini Dar es Salaam, leo Novemba 07, 2024. Mkurungezi wa Mawasiliano kutoka kampuni ya Artel Tanzania Beatrice Singano akifafanua jambo leo mara baada ya uzinduzi wa duka katika kituo cha Treli ya Kisasa jijini…