AKILI ZA KIJIWENI: Bora Msuva, Kapombe walivyorudi Stars
MJADALA hapa ni uteuzi wa kikosi cha Taifa Stars ambacho kitacheza mechi mbili za kuwania kufuzu fainali za mataifa ya Afrika (Afcon) 2025 dhidi ya Ethiopia na Guinea hapo baadaye. Kuchaguliwa kwa Shomari Kapombe na Saimon Msuva ndiyo kumepokelewa vyema na washkaji hapa kijiweni na wanaamini wawili hao walipaswa kuitwa mapema. Vijana tunaotegemea wabebe mikoba…