RAIS MWINYI: SMZ KUJENGA KIWANJA KIPYA CHA MPIRA – AFCON2027
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameendelea na ziara ya kikazi nchini China ambapo leo amekutana na kampuni mbalimbali zinazolenga kuwekeza Zanzibar. Katika mwendelezo wa ziara hiyo Rais Dk. Mwinyi pia, amekutana na uongozi wa kampuni maarufu na yenye uzoefu wa miaka mingi, China Railway Construction Engineering…