Baresi awakingia kifua mastaa Mashujaa
BAADA ya vipigo viwili mfululizo, Kocha wa Mashujaa FC, Abdallah Mohamed ‘Bares’ amewakingia kifua wachezaji wake, uchovu ndiyo sababu ya kushindwa kuendana na kasi ya ushindani kutokana na kucheza mechi mfululizo. Mashujaa imepoteza mbele ya Simba bao 1-0 nyumbani na imekubali kipigo cha pili dhidi ya Tabora United ugenini ikilala bao 1-0. Akizungumza na Mwanaspoti,…