Ni wakati wa kuangalia fursa za uwekezaji
Wiki hii kumekuwa na maendeleo chanya kwenye masoko ya fedha na mitaji ambapo tumeshuhudia uwepo wa fursa za uwekezaji kupitia vipande, hatifungani na pia hisa. Pia tumeona kuwa mabenki, hasa yaliyoorodheshwa kwenye soko la hisa na mitaji yakiripoti kufanya vizuri kwenye mawasilisho ya robo ya tatu ya mwaka. Inapotokea nafasi kama hizi ni wakati wa…