𝐑𝐀𝐈𝐒 𝐒𝐀𝐌𝐈𝐀 𝐊𝐔𝐙𝐈𝐍𝐃𝐔𝐀 𝐌𝐅𝐔𝐊𝐎 𝐖𝐀 𝐊𝐔𝐄𝐍𝐃𝐄𝐋𝐄𝐙𝐀 𝐊𝐀𝐙𝐈 𝐙𝐀 𝐖𝐀𝐁𝐔𝐍𝐈𝐅𝐔

WAZIRI  wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf  Mkenda akizungumza na waandishi wa habari leo Novemba 6,2024 jijini Dodoma kuhusu  kongamano la Tisa la Kitaifa la Sayansi, Teknolojia na Ubunifu  linalofanyika kila mwaka chini ya uratibu wa Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) litakalofanyika kuanzia Disemba 2 hadi 4 katika Ukumbi wa Mikutano…

Read More

TBS, Unido kukarabati mfumo wa maabara

Morogoro. Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kwa kushirikiana na Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Viwanda (Unido), limeanzisha ukarabati wa mfumo wa uendeshaji maabara (LIMS) ili kuongeza ufanisi na kuendana na mabadiliko ya kiteknolojia. Maboresho haya yanakuja baada ya kutambua umuhimu wa matumizi ya mifumo ya kielektroniki, ambayo inarahisisha utoaji wa huduma mbalimbali ndani ya…

Read More

Mradi kuwezesha wakulima 60,000 kuuza mazao nje

Dar es Salaam. Wakulima wadogo 60,000 wanaozalisha mahindi, mpunga, alizeti na soya wanatarajia kunufaika na mradi utakaowawezesha kuyafikia masoko ya kimataifa. Mradi huo uliopewa jina la ‘Tukue Pamoja’ unafadhiliwa na Serikali ya Norway unatarajia kutumia Sh27.9 bilioni kwa miaka mitano kuanzia mwaka huu. Utakelezaji unaanza wakati ambao Tanzania imeendelea kushuhudia ukuaji wa mauzo ya mazao…

Read More

Washtakiwa wapiga makofi wakihukumiwa faini ya Sh40,000

Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imewahukumu Watanzania 64 kulipa faini ya Sh40,000 kila mmoja au kwenda jela miezi sita, baada ya kupatikana na hatia ya kuondoka ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kwenda Afrika Kusini bila kufuata taratibu za uhamiaji. Waliohukumiwa adhabu hiyo katika kesi ya jinai namba 31302 /2024 …

Read More

Kuna swali! Ahoua hashikiki, Simba kileleni

KUNA maswali? Ndivyo mashabiki wa Simba walivyokuwa wakihoji kwa furaha kwenye Uwanja wa KMC, wakati timu hiyo ikiikandika KMC kwa mabao 4-0 na kupanda kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Bara ikiishusha Yanga, inayoshuka uwanjani jioni ya leo. Mashabiki walikuwa wakiuliza kwa kejeli kutokana na mabao mawili ya kiungo mshambuliaji, Jean Charles Ahoua yaliyomfanya nyota…

Read More

ABOOD YAJIPANGA KUKOMESHA AJALI BARABARANI

NA FARIDA MANGUBE, MOROGORO Takwimu zinaonyesha kuwa ajali nyingi za barabarani nchini  zinatokana na kutofuatwa kwa sheria za barabarani, madereva wasio na weledi na kitendo cha kutozingatiwa maswala ya kiusalama kwa vyombo vya usafirishaji ndio vyanzo vikuu vya ajali hizo. Kwa mjibu wa ripoti ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu( NBS) na  jeshi la Polisi,…

Read More

PPRA YAENDESHA MAFUNZO MODULI MPYA MFUMO WA NeST MWANZA

MAMLAKA ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) inaendesha Mafunzo kuhusu Sheria mpya ya Ununuzi pamoja na Moduli mpya za Mfumo wa NeST kwa watumishi wa umma kutoka kada na Taasisi mbalimbali nchini, Mafunzo hayo yaliyoanza rasmi Novemba 4, 2024 katika ukumbi wa mikutano wa jengo la Rock City Mall Jijini Mwanza, yamehudhuriwa na washiriki…

Read More