MFUMO WA UJIFUNZAJI KIELETRONIKI (MUKI) WARASIMISHWA
Naibu Katibu Mkuu anayeshughulikia miundombinu Ofisi ya Rais – TAMISEMI Eng. Rogatius Mativila ameongoza kikao cha Menejimenti kurasimisha matumizi ya mfumo wa ujifunzaji Kieletroniki (MUKI) tarehe 05.11.2024. Mfumo huo umebuniwa na Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo na kufanyiwa majaribio kwa ufadhili wa Mradi wa USAID wa Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma Awamu ya…