Sababu zatolewa nauli Dar-Z’bar kupanda
Unguja. Mamlaka ya Usafiri Baharini (ZMA), imetaja sababu tatu za kupandisha bei ya nauli ya boti za mwendokasi zinazofanya safari zake kati ya Unguja na Dar es Salaam. Nauli hiyo imeongezwa katika huduma hiyo kwa daraja la kawaida kutoka Sh30,000 hadi Sh35,000. Sababu hizo ni kuongeza kwa gharama za mafuta, matumizi ya Dola ya Marekani,…