Vijana wa Kitanzania Kuwezeshwa kupitia Vodacom Youth Base (VYB), kuongeza fursa katika za kidijitali. – MWANAHARAKATI MZALENDO

Meneja wa Bei na Bidhaa kutoka Vodacom Tanzania, Ipyana Mwankemwa akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni ya VYB Balaa! Mtu ni Connection! ambapo vijana wenye umri kati ya miaka 15 mpaka 28 wanapata nafasi ya kufaidika na vifurushi mbalimbali kutoka mtandao huo. Uzinduzi huu uliopambwa na burudani kemkem ulifanyika tarehe 24 Oktoba 2024 Don Bosco…

Read More

PACOME: Jasho nalovuja Yanga litalipa

HAIKUWA kazi nyepesi kwa viongozi wa Yanga wakiongozwa na Hersi Said kunasa saini ya kiungo Pacôme Zouzoua, nyota mahiri wa Ivory Coast ambaye kwa sasa anawafanya Wananchi watembee vifua mbele. Uwezo wa kumiliki mpira, kasi na kupenya ngome za wapinzani umemfanya asitoke vinywani mwa mashabiki wa timu hiyo. Licha ya kuwa na wachezaji hatari kama…

Read More

Rais Mwinyi akutana na uongozi wa kampuni ya Wuhan

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi, katika ziara yake nchini China leo amekutana na ujumbe kutoka Kampuni ya Wuhan Guangfu Tangyuan Buer Cultural Development. Ujumbe huo ulifika katika ukumbi wa mikutano wa Hoteli ya Westin, Shanghai, wakiwa na mwenyeji wao, Bwana Wenbao Tan, Mkurugenzi Mkuu kutoka Shirika…

Read More

Wamarekani mmefanikisha ushindi – DW – 06.11.2024

Donald Trump yupo kwenye hatihati ya kutwaa ushindi wa urais leo hii Jumatano baada ya kushinda jimbo la Pennsylvania, matokeo ambayo yanamweka katika nafasi ya kusubiri alama tatu tu ili aweze kutangazwa rasmi kuwa amemshinda mgombea wa chama cha Democrats Kamala Harris. Hadi sasa Trump ana kura 267 kati ya 270 za wajumbe wa majimbo…

Read More